Toyota land cruiser vx 4 sale

Toyota land cruiser vx 4 sale

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,445
Reaction score
216
1997 , Engine diesel V 6 manual transmission , ipo katika hari nzuri sana number T 305 ADU imetumika kidogo ipo Dar Es Salaam imefungiwa ndani tabata chang'ombe tuwasiliane 0657145555

toyota cluser.jpg
 
Fungua milango tuangalie ndani

Imetembea kilomita ngapi?

Unataka pesa ngapi?
 
1: Linakunywa mafuta kilometa kwa lita moja?
2; Tairi mpya ni bei gani dukani na
3. Siku ukitaka kufanya matengenezo (service) inakubidi uwe na kama laki ngapi?
 
1: Linakunywa mafuta kilometa kwa lita moja?
2; Tairi mpya ni bei gani dukani na
3. Siku ukitaka kufanya matengenezo (service) inakubidi uwe na kama laki ngapi?
hivi haya maswali unaulilza ukiwa umevaa nguo au ?
 
Engine ya v6 au v8 ...maana sijawahi kuona gari ya mtindo huo ikiwa v6
 
1997 , Engine diesel V 6 manual transmission , ipo katika hari nzuri sana number T 305 ADU imetumika kidogo ipo Dar Es Salaam imefungiwa ndani tabata chang'ombe tuwasiliane 0657145555

View attachment 244164

Sio V6 hio...ni inline/straight six cylinder....Land cruiser 100
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom