mwenye kuuza gari aina tajwa hapo juu iliyo vizuri tuwasiliane kwa biashara
ninayo number D inataka 10.5m pia nina number c inataka 8.5m pia kuna number b inataka 7.5 gari niko nazo kinondoni manyanya njoo ukague tufanye biashara 06578145555
kumbe gari siku hizi inauzwa kwa namba ,ikifika namba Z tutauzaje sasa