Uko wapi??Wakuu kwema
Nahitaji toyota IST isiwe na tatizo lolote namba iwe C nakupanda juu, Bajeti yangu ni 5M Njoo chapa tufanye biashara.
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Nipo Moshi ila kama inauhakika popote naifuata..Uko wapi??
Mwanza utaweza kuja??Nipo Moshi ila kama inauhakika popote naifuata..
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Ipo CT ilaaa aongeze ongeze box saba hivi
Ukisha pata nipo muuza mafuta ya kidebe
Ipo namba C kwa 5m Dar
Umekua mkweri, hakuna IST ya 5m asije kudanganywa! Hata ya Zanzibar hakuna kitu kama hicho itakua ist jina5 utapata kichaka sna,ongeza iyo hela boss
Mkuu mkono umefikia hapo ila gari nataka5 utapata kichaka sna,ongeza iyo hela boss
Sawa mkuu nitakushtua hata kunisaidia kubadili Oil..ukitaka fundi niambie, maana apo utapata jini
Muda mwingine bora uchelewe kuliko ubebe ya mazoezi.