Toyota IST for Sale (New)

Toyota IST for Sale (New)

BwanaX

Senior Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
123
Reaction score
46
Toyota IST for Sale (New)

Used for 3 Months
Engine Capacity 1496
Registration T.......DCR
Year of Manufacture 2002
Colour: Silver
Body: Saloon
Price 9 M
Fully A/C
Location DSM
Phone 0774819712
 
Attachments

  • IMG-20150321-WA0008.jpg
    IMG-20150321-WA0008.jpg
    269.7 KB · Views: 480
Nadhani ni mtizamo tu. Biashara haigombi. lakini bei inaashiria kwamba mtu anayetaka aina hiyo ya gari aagize mija kwamoja na anaweza kulipa less than that maana haijatengenezwa mwaka jana hiyo. Hujafikiria hata kuweka range? Nimeiona kama hiyo show room Fulani na wameniambia naweza kulipia hadi 8M pamoja na kulipia matakataka zote yanayochomekewa kwa sababu tu ni zaidi ya miaka 8 tangu itengenezwe. Ila ni gari nzuri maana naona kama ni fashion ya siku hizi kama kile kipindi cha RAV 4 kilipoingia nchini.
 
Toyota IST for Sale (New)

Used for 3 Months
Engine Capacity 1496
Registration T.......DCR
Year of Manufacture 2002
Colour: Silver
Body: Saloon
Price 9 M
Fully A/C
Location DSM
Phone 0774819712
New ya mwaka 2002...!!!
 
Nadhani ni mtizamo tu. Biashara haigombi. lakini bei inaashiria kwamba mtu anayetaka aina hiyo ya gari aagize mija kwamoja na anaweza kulipa less than that maana haijatengenezwa mwaka jana hiyo. Hujafikiria hata kuweka range? Nimeiona kama hiyo show room Fulani na wameniambia naweza kulipia hadi 8M pamoja na kulipia matakataka zote yanayochomekewa kwa sababu tu ni zaidi ya miaka 8 tangu itengenezwe. Ila ni gari nzuri maana naona kama ni fashion ya siku hizi kama kile kipindi cha RAV 4 kilipoingia nchini.

Nenda show room, Hujalazmishwa
 
Nenda show room, Hujalazmishwa

Mkuu huku Jamii forums kuna much know sana. Kila kitu wanajifanya wajuaji. Anayeuza gari kaamua bei yake yeye anajifanya kuijileta kimbele mbele mbele:biggrin1:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom