Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 996
Si bola nikanunie toyota passo na chenji itabaki ya kununua kiwanja!! 11.5ml looh, alafu rangi nyeupe bola ingekua black
Dalali ameweka chake hapo labda
IST milioni 11.5!!!! Au ya mwaka huu nini?
Nisamehe mkuu nilikua kwenye utani tu, huwa napenda sana utani ata kama upo serious
Karibu sana mkuu, mwaka mpya ndiyo umeshaanza hivyo
aliyekuambia ni lazima ununuwe hii ni nani? Aliyekuambia rangi ikiwa nyeupe haiwezi kuwa nyeusi ni nani?
Kanunuwe kiwanja kwanza kabla ya kuwaza kununua gari.
Pia jifunze kuandika, neno bola halipo kwenye lugha ya kiswahili.
mimi siyo dalali
unauza bidhaa yako/zako la suala zima la kastama kea kama linakutatiza kidogo...hayo majibu unayomjibu mteja wako unadhani kesho akisikia ndugu yake anahitaji ist atamleta kwako?....kuwa mfanyabiashara kidogo.
Aliyekuambia ni lazima ununuwe hii ni nani? aliyekuambia rangi ikiwa nyeupe haiwezi kuwa nyeusi ni nani?
kanunuwe kiwanja kwanza kabla ya kuwaza kununua gari.
Pia jifunze kuandika, neno bola halipo kwenye lugha ya kiswahili.