Wasalaam wakuu,moja kwa moja kwenye mada.
Mimi Napenda Sana hili gari Aina ya Toyota ipsum old model,yaani hii gari ipo moyoni sio siri.
Naomba kujua bei yake kutoka Japan mpaka Dar,au kama nikitaka kununua kwa mtu,inachezea bei gani?Ila iwe nzima plate namba walau iwe DS...
View attachment 2366434