Dola 20,000 unazungumzia more than 45M,aiseee cha juu umeongeza kikubwa sana buanaVipi ndugu? 20 parefu sana?
Ndugu, ningeweka ngapi? Ndo bei niliyoambiwa, nilishauri bei ipungue ili niichukue mimi wakagoma, nilicheki sehemu nikaona kuitoa Toyota D.Cabin Japan ni $16000 kwa mileage ya 70000km mwaka 2012. Mpya ambayo ofisi inanunua saivi ni $39000.Dola 20,000 unazungumzia more than 45M,aiseee cha juu umeongeza kikubwa sana buana
ploudly ngosha [emoji243][emoji243][emoji243]