Toyota harrier for sale

Toyota harrier for sale

milton2011

Member
Joined
Jan 16, 2011
Posts
14
Reaction score
1
The car is on an excellent condition. Ina odometer ya 80000km, sports wheels na matairi mapya. Price 24mil. Its negotiable. Contact me through 0758500001. Serious buyers only.
 
nadhani kuna mapungufu kwenye hili tangazo!
engine size
picha
wapi inapatikana
ya mwaka gani
wengine huweka hata sbb za kuliuza n,k

hata huyo serious buyer mpunguzie maswali ya kuuliza!!
 
24M fo third hand car? You are not a serious seller, wanting a serious buyer, crazy country
 
24M third hand? You are not a serious seller, but you want a serious buyer, crazy country
habari za simiyu bwana Magu!!maana magu si karibu na mkoa mpya wa simiyu!
 
Last edited by a moderator:
CC ngapi?

Ya mwaka gani?

Imeingia nchini?

Na picha yake?

Weka hivyo vitu kwanza
 
.... Duh 24 mil....!??

... Second car....tena harrier may be ya 1999 huko....

... No details....

... Go trade car view HARRIER HAZINA BEI TENA ... USD 2600 FOB.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom