Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 14,593
- 25,714
Weka in tshs mkuu.Toyota Fortuner kuanzia 2007 mpaka 2010 ni rand 130,000 mpaka rand 180,000.View attachment 397141
Tsh 20,000,000 mpaka 28,000,000 milion kununua zinacheza bei hiyo kwa model hiyo...Weka in tshs mkuu.
Tsh 20,000,000 mpaka 28,000,000 milion kununua zinacheza bei hiyo kwa model hiyo...
kodi nayo ni 20milion mpaka 25 kwa miaka hiyo ukipita nayo boarder hakuna zile gharama za bandari na zinginezo zaidi ya agent fees na kodi tuu..,Kodi yake itakua milioni 30
Mkuu samahani.Tsh 20,000,000 mpaka 28,000,000 milion kununua zinacheza bei hiyo kwa model hiyo...
Yard nyingi ipo around Tsh 9 million na kodi ni 6million mafuta na malipo boarder zote around milion iwepo ila ukiwa huna haraka unaweza pata ya 7million ambayo itafika around hiyo 15m au 16m ni 120i diesel au petrol automatic..Mkuu samahani.
Mtu akiwa na 15,000,000 anaweza pata BMW X3 ya arround 2007 na kuendelea? Yani hiyo hela ni pamoja na kodi na kila kitu hapa bongo.
Okay. Kuna mtu nataka nimnunulie.bavari sema kila jan,feb na march ya kila mwaka gari nyingi zinapungua bei hizi ndogo za kutembelea maana za ajali zinakua nyingi scrape yard kwa hiyo wanapunguza bei wanunue hizo walekebishe zikae yard tena hata mimi baadhi nanunua za kugongwa unapeleka yard ikiinyooshwa inatoka mpya maana SA vingi vinanunuliwa vipya halinyoshwi body lile lile tena..,
mkuu plz naomba uni PM namba yako kuna ishu tuongeeYard nyingi ipo around Tsh 9 million na kodi ni 6million mafuta na malipo boarder zote around milion iwepo ila ukiwa huna haraka unaweza pata ya 7million ambayo itafika around hiyo 15m au 16m ni 120i diesel au petrol automatic..
Bonge naleta sana hizo mashine za agriculture Tanzania, mwezi ujao mwishoni kutakuwa na MF tractor 135,165 na 270..Isanga family huwa unaleta machine za agriculture au ni magari tuu?
utaendesha tuu ina matoleo mengi na bei zake used sio kubwa ni gari zuri bei ya kawaida ni kucheza na mwaka ili ujue unalipa kodi ya pungufu ya 20m...Ninavyozipenda fortuner...hadi naumwa
Amen.utaendesha tuu ina matoleo mengi na bei zake used sio kubwa ni gari zuri bei ya kawaida ni kucheza na mwaka ili ujue unalipa kodi ya pungufu ya 20m...
Mkuu Ford Focus RS ni kiasi gani huko SA.....??utaendesha tuu ina matoleo mengi na bei zake used sio kubwa ni gari zuri bei ya kawaida ni kucheza na mwaka ili ujue unalipa kodi ya pungufu ya 20m...