Pia naagizia watu magari kutoka japan, gari aina yoyote kwa bei kidogo nafuu maana nina deal na makampui matatu makubwa yakijapan yanayo endesha minada ya used cars. Commission yangu ni dola USD 200 kwa kila transaction. (kwa kila gari moja)
Ili kuweka uwazi baina ya mimi na ninae muagizia utakuwa kwenye email loop zote za negotiation mpaka bei ya mwisho na utakwenda kulipia mwenyewe benki baada ya kupata invoice.(hii ni kwa uaminifu zaidi kwa wale wanaohofu kuwekewa cha juu).