Toyota Cresta Exceed G edition GX100.VVTi engine 2000yr,1980cc inauzwa.

Kaka longtime vipi lakini? ile ngoma yetu inaendeleaje? are u still enjoying it?

Ipo vzuri kabisa, kweli long time inabidi tutafutane...unajua tupo kwen game hii muda mrefu tunaelewa....ambaye haelewi ndo analeta bla blah tu...big up kamua mwana.
 
Pia naagizia watu magari kutoka japan, gari aina yoyote kwa bei kidogo nafuu maana nina deal na makampui matatu makubwa yakijapan yanayo endesha minada ya used cars. Commission yangu ni dola USD 200 kwa kila transaction. (kwa kila gari moja)

Ili kuweka uwazi baina ya mimi na ninae muagizia utakuwa kwenye email loop zote za negotiation mpaka bei ya mwisho na utakwenda kulipia mwenyewe benki baada ya kupata invoice.(hii ni kwa uaminifu zaidi kwa wale wanaohofu kuwekewa cha juu).
 
Ok nimekuelewa broo mi budget yangu ml.7tu nitapata Noah Old model? Kama lnawezekana nipigie na no:0753882205tufanye biashara broo
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom