darautobroker
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 604
- 550
Naamini Kuuliza Sio Ujinga Kuliko Kujifanya Unajua Kumbe Unaungua Na Jua115m ? Umeweka hapo yako 40 sio , basi sawa
Kama Ingekuwa Ivyo Basi Wauza Magari Wengi Tungekuwa MabilioneaKaweka 60 yake
Naamini Kuuliza Sio Ujinga Kuliko Kujifanya Unajua Kumbe Unaungua Na Jua
Wewe ni mbwa tu dalali ! Hakuna chenye unajua, kalambe matako ya watu huko na kujichekesha chekesha plus utapeli ili upate kuishi ! Udalali ni laana
😃🤣😆😢😊😊😁👌👌😊😊😆😆115m ? Umeweka hapo yako 40 sio , basi sawa
Asante Kiongozi Kwa Ufafanuzi Mzuri Huu.Magari yana kodi kubwa sana hilo gari kwa usd iliyopo unakuta hapo jamaa kapata sana 8m nina Coaster zipo Durban ntauzia hapo hapo nikipiga hesabu kwa kodi ya Tanzania linafika zaidi ya 100m bora niuzie huku huku tu Tanzania ntatuma Scania G 460 ya SA ingawaje nayo ina zaidi ya 51m kodi tu ya mwaka 2018 kodi 68m...
Asante Kiongozi Kwa Ufafanuzi Mzuri Huu.