Mpwa hio ni engine gani? Vibali vikoje? TLB yake inasemaje? Odometer je? Maana ya kwangu ni 1hz, vibali vyote viko valid, TLB ya Makumbusho Mabibo na inasome 300,000km nauza 12m lakini wateja hawapatikani, nimeamua mtu akija hata na 11M namuachia tu sasa. Pengine hapa ndio mahali sahihi, asante.