Toyota Coasta inauzwa

Toyota Coasta inauzwa

T2014

Member
Joined
Jun 27, 2015
Posts
8
Reaction score
1
Toyota Coasta box inauzwa mil 14 iko Dar es salaam kwa mawasiliano 0755570570, picha hizi hapa.
 
Attachments

  • IMG-20150911-WA0004.jpg
    IMG-20150911-WA0004.jpg
    112 KB · Views: 454
  • IMG-20150911-WA0003.jpg
    IMG-20150911-WA0003.jpg
    109.2 KB · Views: 365
  • IMG-20150911-WA0001.jpg
    IMG-20150911-WA0001.jpg
    113.1 KB · Views: 346
kaka ni kiwango kizuri lkn bado kiko chini sana.
 
Mpwa hio ni engine gani? Vibali vikoje? TLB yake inasemaje? Odometer je? Maana ya kwangu ni 1hz, vibali vyote viko valid, TLB ya Makumbusho Mabibo na inasome 300,000km nauza 12m lakini wateja hawapatikani, nimeamua mtu akija hata na 11M namuachia tu sasa. Pengine hapa ndio mahali sahihi, asante.
 
Zina matatizo gani wakuu hadi mnauza? Kama ni Engine mtu afike bei kwa kununua Body tu, then Engine za kununua mtumba! T2014 Elli
 
Last edited by a moderator:
Mpwa hio ni engine gani? Vibali vikoje? TLB yake inasemaje? Odometer je? Maana ya kwangu ni 1hz, vibali vyote viko valid, TLB ya Makumbusho Mabibo na inasome 300,000km nauza 12m lakini wateja hawapatikani, nimeamua mtu akija hata na 11M namuachia tu sasa. Pengine hapa ndio mahali sahihi, asante.

Aisee Elli umenichekesha kweli mkuu.
Maana umechomekea halafu na wewe umesema ugonjwa wako.

Kuna mdau juu kauliza kwanini mnaziuza,maana bei imeshuka ghafla ya gari hizi.Au ndio magari yaendayo kasi hayo?
Maaana sasahivi inafikia kwamba mtu akitaka Coaster anatoka Zanzibar anakuja kununua Dar,aisee kazi kweli.
Ngoja nikirudi Zanzibar nijipange nianze kuzisafirisha kutoka Dar na kuzifanyia soap soap nile dili za daladala.
Elli na wewe weka Picha
 
Waswahili walisema biashara ni ujanja sio ujanja ujanja, binafsi naiuza kutokana na mizinguo ya madereva aisee halafu nakosa time ya kuwafuatilia, ukifika zanzibar urudi faster kuja kununua ya kwangu kwanza hahahahaaaaa nitakupa kwa 10.5
Aisee Elli umenichekesha kweli mkuu.
Maana umechomekea halafu na wewe umesema ugonjwa wako.

Kuna mdau juu kauliza kwanini mnaziuza,maana bei imeshuka ghafla ya gari hizi.Au ndio magari yaendayo kasi hayo?
Maaana sasahivi inafikia kwamba mtu akitaka Coaster anatoka Zanzibar anakuja kununua Dar,aisee kazi kweli.
Ngoja nikirudi Zanzibar nijipange nianze kuzisafirisha kutoka Dar na kuzifanyia soap soap nile dili za daladala.
Elli na wewe weka Picha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom