TOYOTA CHASER GF-GX 100

TOYOTA CHASER GF-GX 100

Joined
Sep 13, 2015
Posts
49
Reaction score
29
TOYOTA CHASER GF-GX 100

✓ Model Year: 1998

✓ Engine capacity : cc 1980

✓ price: 4,000,000 Tshs (fixed)

✓ call/WhatsApp 0753285898

View attachment 1942478View attachment 1942479View attachment 1942481View attachment 1942480View attachment 1942483View attachment 1942482
IMG-20210917-WA0025.jpg
View attachment 1942484View attachment 1942485
 
Sijui mlisha jua Watanzania wapo desperate na mambo ya magari ndio maana mnawafanyia hivi,yani gari ina miaka 23 toka itengenezwe halafu unaiuza 4M?? hapo depreciation sio zero ni negative.

Tafuta ndugu yako unaye mpenda MPE kama zawadi bure.
 
Point.
Huwa wanazingua Sana.
 
Sijui mlisha jua Watanzania wapo desperate na mambo ya magari ndio maana mnawafanyia hivi,yani gari ina miaka 23 toka itengenezwe halafu unaiuza 4M?? hapo depreciation sio zero ni negative.

Tafuta ndugu yako unaye mpenda MPE kama zawadi bure.
Ukipost biashara JF inabidi uwe na moyo wa chuma
cc Espy
 
Asante kwa ushauri
 
Hiv hakuna namna ya kuchukua injini ya gari hizi za zaman ukaweka kwenye gari za kisasa?
 
Sijui mlisha jua Watanzania wapo desperate na mambo ya magari ndio maana mnawafanyia hivi,yani gari ina miaka 23 toka itengenezwe halafu unaiuza 4M?? hapo depreciation sio zero ni negative.

Tafuta ndugu yako unaye mpenda MPE kama zawadi bure.
Langu niliuza Kwa 1.5m na jamaa alinilipa 300k tu tangu 2017 hajamalizia balance
 
Ukipost biashara JF inabidi uwe na moyo wa chuma
cc Espy
Yaani mimi nachekaga mpaka basi. Kuna mmoja alinifurahisha yeye aliamua kwenda sawa na watoa comnents nae akawa comedy zaidi yao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom