Hiyo bei ya wizi..hilo gari aliendi kwa bei hiyo..
Hiyo bei ya wizi..hilo gari aliendi kwa bei hiyo..
Hiyo bei ya wizi..hilo gari aliendi kwa bei hiyo..
oi Gari ina Four Doors? aina mpya hii eeh
Si kakuambia negotiable?
AhsanteHivi unajuwa magari kweli, gari ya 2001 with 65000 mileage unasema haiendi kwa bei hiyo???Kaa pembeni kama hujui magari vizuri
Mi sio mnunuzi ila presentation yako nimeipenda sana kwa kweli. Nimefuatilia post zako za kuuza magari naona una-express kila kitu.Wadau,
Nauza Toyota Altezza, ambayo imetoka bandarini tarehe 01st Nov, 2012
Gari hii ni nzuri na zifuatazo ni details zake.
YOM; 2001
Odometer: 65,000 km
CC: 1,980
Steering: Right
Transmission: Automatic
Fuel: Gasoline/Petrol
Color; Silver
Number of Doors; 4
Price; 14.5Mil (Neg.)
Contacts; 0713 87 56 59/0713 67 49 91
View attachment 70251
View attachment 70252
View attachment 70253
View attachment 70254
View attachment 70255
View attachment 70256
Hivi unajuwa magari kweli, gari ya 2001 with 65000 mileage unasema haiendi kwa bei hiyo???Kaa pembeni kama hujui magari vizuri
Huyu rafiki yako lazima somo la biashara lilimpitia kushoto otherwise ndo wale waliotoka shule za kata. Yaani kanunua hicho ki-gari 7M halafu anataka kutulangua kwa 14M.Cif $2300 ushuru umelipa 3.7m halafu unauza 14m ..utawapata mabwege na huu ni wizi..badilika
Nina mashaka na calculation zenu, haziko sahihi. Hamjamtendea haki mleta thread kwa sababu zifuatavyo;Huyu rafiki yako lazima somo la biashara lilimpitia kushoto otherwise ndo wale waliotoka shule za kata. Yaani kanunua hicho ki-gari 7M halafu anataka kutulangua kwa 14M.
Nina mashaka na calculation zenu, haziko sahihi. Hamjamtendea haki mleta thread kwa sababu zifuatavyo;
1) Mnaweza kuweka link za Altezza zinazouzwa CIF 2,300?? Hiyo sanasana itakua Fob tu, ambapo hata kule japan kwenyewe kuna magharama mengine kama inspection, n.k
2)Gharama sio CIF + Kodi tu, kuna makorokoro mengine kibaao kama Bandari, shipping line, agent fees, n.k
3) Kodi ya Altezza sio 3 7Mil
4)Bei haipimwi kwa Cost tu bila kuweka na faida yake, na ndio maana akasema bei ni negotiable
Nilitegemea great thinkers wachambue kwa style hii Anyway mwenyewe atakuja.
We ndo mautumbo kabisa..14m altezza,,,,!!!!! Halafu mileage 65000? Kauze rombo ndo utapata mtu kwa hiyo bei