mwachewangu Senior Member Joined May 4, 2011 Posts 111 Reaction score 41 Nov 22, 2013 #1 Toyota altezza iliyo katika hali nzuri inauzwa kwa bei ya ml tisa tuu kwa mawasiliano 0767547228
M Msema yote JF-Expert Member Joined Mar 19, 2013 Posts 448 Reaction score 301 Nov 22, 2013 #2 Unauza hewa au gari? Weka picha plizzzzzzz
Ngondombole JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 646 Reaction score 186 Nov 22, 2013 #3 Weka picha tuione
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,808 Nov 22, 2013 #4 somo la picha bado linahitaji msuli mkubwa sana hapa
Jerrymsigwa JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 14,084 Reaction score 8,407 Nov 22, 2013 #5 Si katoa namba hiyo acheni zenu bwana watu tunaweka picha na contacts mnatoa macho tu + kejeli
Muzii Senior Member Joined Apr 13, 2010 Posts 196 Reaction score 118 Nov 22, 2013 #6 Picha ni mhimu kiongozi, kwani macho huona na ndio huwa mwanzo wa kutamani na hatimaye kununua
mwachewangu Senior Member Joined May 4, 2011 Posts 111 Reaction score 41 Nov 22, 2013 Thread starter #7 Wakuu in Biz ka izi Dont believe in Picture, Unatakiwa ulione Utesti Mwenyewe na Ujue hii sio biashara ya kusema nipo mkoani.... Nipo DAR ni wewe kuwasiliana na kujua lini unaweza kuja ona...
Wakuu in Biz ka izi Dont believe in Picture, Unatakiwa ulione Utesti Mwenyewe na Ujue hii sio biashara ya kusema nipo mkoani.... Nipo DAR ni wewe kuwasiliana na kujua lini unaweza kuja ona...