Ulongupanjala JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 8,522 Reaction score 14,004 Sep 6, 2016 #1 Wadau heshima kwenu, Nahitaji pikipiki used aina yeyote iwe TOYO,SKYMARK nk. Iwe kwenye hali nzuri na inafanya kazi. Mwenye nayo na anaiuza na yupo ARUSHA anitafute kwenye namba 0752489529 anaweza tuma picha kwa whatsapp pia. Asante.
Wadau heshima kwenu, Nahitaji pikipiki used aina yeyote iwe TOYO,SKYMARK nk. Iwe kwenye hali nzuri na inafanya kazi. Mwenye nayo na anaiuza na yupo ARUSHA anitafute kwenye namba 0752489529 anaweza tuma picha kwa whatsapp pia. Asante.