Tovuti ya Global Publishers ina Virus

Keykey

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2006
Posts
3,251
Reaction score
751
Tahadhari!

Unapokwenda kwenye hii site ya akina UWAZI kuwa mwangalifu kidogo na haklikisha computer yako ina ulinzi wa kutosha. Hasa kwenye ile section ya 'HABARI katika picha'
 
Zaidi ya wiki sasa mtandao wa Global Publishers una virus, wahusika sijui hawajui ama ....
 
Unaipataje hiyo virus? mimi sipati kitu, unatumia browser gani?
 
Unaipataje hiyo virus? mimi sipati kitu, unatumia browser gani?


Nadhani atakuwa anatumia avast antivirus, tatizo nadhani litakuwa ni avast na si website.
 
Ni kweli hata mimi comp yangu imepata virus ijumaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…