Pamoja na hayo, Serikali imeendelea kuwa kimya bila kueleza chochote kuhusu Tovuti hii. Ikumbukwe kuwa Tovuti ya NEC ndiyo tovuti pekee ambapo unaweza kupata matokeo Rasmi ya Chaguzi zote.
Kama kuna sehemu naweza kupata matokeo ya uchaguzi wa mwaka 2010 naomba mnisaidie tafadhali.