Prodigal Son
JF-Expert Member
- Dec 9, 2009
- 1,067
- 700
Mawazo kama yako ndiyo yanayosababisha sector nyingi nchini kudorora na kutokua na tija inayotakiwa (daktari wa mifupa anakuwa waziri wa Michezo,afisa kilimo anakua manager wa bank,yeyote anayeweza endesha gari anakua dereva wa mabasi ya abiria!!what do you expect to happen in these sectors????? i'm sure u have a very correct answer.....Tanzania hatuna watalaamu wa sector ya utalii sasa we unazani watalii wanakuja kwa msaada wa Mungu? Hotel services with high quality ndiyo kitu muhimu sana kwa watalii na manager wa hotel anatakiwa awe na proffesional ya Utalii ili aweze iongoza hotel kwa kiwango kinachotakiwa.....kama wapo watanzania wenye sifa na proffesional wapewe umeneja wa hotel lakini kama hawapo kamwe hao wawekezaji sio kama wabongo hawana tabia ya kuwekana ovyo ovyo tu kisa mwajuana....weka mameneja wa hotel wasio kua na sifa then uone watalii kama kesho watakuja tena.......jiulize swali la kawaida kabisa kwa nini watu wapenda kwenda ile bar na sio ile pale?.....i bet now u understand what i'm talking about.....kwa nini wafaransa walimkataa huyo mama? then kwani wakiwekwa mameneja watanzania watalii watakuwa hawaji kwenye hizi hotel zetu??
kwa nini wafaransa walimkataa huyo mama? then kwani wakiwekwa mameneja watanzania watalii watakuwa hawaji kwenye hizi hotel zetu??
Kivipi sasa oasema Tanzania haina wataalam wa hio sekta.???
Nyinyi si ndio mnasema TZ hakuna ajira?? ajira gani sasa ambazo mnazisema?? uhasibu?? kwani watz wote wamesomea uhasibu??? sasa kama haoa ajira hao waindi mnaowasema na wakenya wanafanya nini sasa hapo??&@$¤¿
ok. basi tuseme hiviiii TZ kuna ajira sema waTZ tuna roho mbaya sana hatujipendi tunadharauliana na kuwahusudu wageni.au tuseme ...?
sector ya utalii imegawanyika ninayoizungumzia hapa ni moja ya subsector within the tourism industry ambayo ni ,hospitality: TANZANIA HATUNA WATAALAMU HAO,
Mfano kwenye hoteli wahasibu, maengineer, computer technician, wanatakiwa hawa hawadeal na client moja kwa moja,
wanoshughulika na wageni ni wapishi, receptiionist, housekeepers etc, hawa wataalamu hawapo, na hapa ndo wafaransa walitaka kusaidia, Mpishi mkuu wa hoteli kama kempinski mshahara wake unamzidi waziri, same applied kwa wale ma senior staff kama food and beavarage managers, front ofice managers, executive housekeepers hawa wengi kwa mahoteli kivbao wanatoka Kenya na India