Mbona heading naona kama English Grammar yake haijakaa vizuri mkuu.
Au mie ndio kidhungu hakipo sawa
Pia angalia hili jina lenu pia
RUAHA GUIDING FIELD CENTRE AND TOURS SAFARIS
Halafu taasisi hiyo mnatumia hotmail account hata website hakuna inakuwaje.
Na Ofisi Zenu zipo wapi
Na je mmesajiliwa na Serikali