Habari ndiyo hiyo, Tanzania imeanza kutoa elimu bure kuanzia Primary hadi high schools mara tu Magufuli alipoingia madarakani, tafuta data za mwaka 2017 uone jinsi school enrolment ilivyoongezeka, kumbuka 70% ya Kenya ni sawa na 50% ya Tanzania in absolute number, Tanzania enrols many pupils than Kenya.