Tatizo ni kwamba watz wengi mko na emotions nyingi sana, arguments zenu haziangalii beyond emotions .. Sasa unatumia siasa za EPA kufanya arguments za pipeline, like seriously!
Sudan inanunua bidhaa nyingi sana za Kenya, ilhali kuna arrest warrant ya rais wao, Juzi rais wa Sudan alitangaza mpango wa reli hadi ethiopia na S.Sudan... Kumbuka Sudan na S.sudan haziskizani vizuri...lakini hii ni biashara, mafeelings eka kando! Tumia logic instead
View attachment 683583 View attachment 683584
hapa naona mtu akilia sababu total hawezi jenga mbili,najiuliza mbona anatoa commitment kwa UK ama anazingua tuuTatizo ni kwamba watz wengi mko na emotions nyingi sana, arguments zenu haziangalii beyond emotions .. Sasa unatumia siasa za EPA kufanya arguments za pipeline, like seriously!
Sudan inanunua bidhaa nyingi sana za Kenya, ilhali kuna arrest warrant ya rais wao, Juzi rais wa Sudan alitangaza mpango wa reli hadi ethiopia na S.Sudan... Kumbuka Sudan na S.sudan haziskizani vizuri...lakini hii ni biashara, mafeelings eka kando! Tumia logic instead
View attachment 683583 View attachment 683584
Sawa sisi tulikopa tujenge SGR, nyinyi mnatumia cash.....Kakopeni hela tena kwa wachina waichukue bandari ya mombasa kama compasantion ya deni Lao kama Sri Lanka [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wazee wa kujikweza kazi mnaloo buda
Sasa wewe kama bajeti ya elimu ni $2B, wakati wananchi hawana chakula wanakufa kwa njaa, hizo shule nani atasoma?, hiyo ni nchi ya wendawazimu wasiojua priorities, chakula kwanza, mengine yote yanakuja baadae.Sawa sisi tulikopa tujenge SGR, nyinyi mnatumia cash.....
Bajeti yetu ya elimu ni $2B , yenu ni $600m , tuwaachie watoto na vitukuu vyetu watatuambia nani alijikweza
South Sudan oil won't join LAPPSET mark my words! Museveni won't allow that! What Total is doing is to control the whole oil industry in EA with center in Kampala. BTW Uganda's reserves r 6.5 bln barrels n not 2 bln barrels as u try to fool it's elves!
South Sudan is a third Nation oil producer, just behind Nigeria and Angola, you call it small Nation?, ama kweli vichwa vya wakenya vimejaa ukabila na corruption only.Those are small nations my big farting friend.
Tanga Hoima is a White elephant. Tanzania haina mafuta so it's costly since the gains are minimal. Watanzania msahau Uganda na SS.
Mbona pesa tumrshakabidhiwa$3.5B, na ujenzi umeshaanza?, au tusimamishe ujenzi na hizi pesa tuwanunulie chakula ili muondokane na aibu ya food donations?[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tanga Hoima is a White elephant. Tanzania haina mafuta so it's costly since the gains are minimal. Watanzania msahau Uganda na SS.
Muda simrefu utabeba makopo. Umebakiza akili yakuvuka barabara tu.Tanga Hoima is a White elephant. Tanzania haina mafuta so it's costly since the gains are minimal. Watanzania msahau Uganda na SS.
That means Uganda will be richer than South Africa
$60 * 6.5B = $390B
Please join me to declare that Uganda is the second biggest economy after Nigeria
Uliza wapi hujaelewa ueleweshwe, acha kudandia bullet train kwa mbele wewe.A simpleton's way of thinking.
Ahaaa haaaa haaaa umekurupuka toka usingizini. Sorry come again which one is a white elephant???
Mbona pesa tumrshakabidhiwa$3.5B, na ujenzi umeshaanza?, au tusimamishe ujenzi na hizi pesa tuwanunulie chakula ili muondokane na aibu ya food donations?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tanga Hoima is a HoaxMuda simrefu utabeba makopo. Umebakiza akili yakuvuka barabara tu.
Tunaomba iwe hivyo, ili hii pesa tuwanunulie chakula, $3.5B inatosha mahindi ya miaka 5 Kenya yote hadi Ikulu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tanga Hoima is a Hoax
Uliza wapi hujaelewa ueleweshwe, acha kudandia bullet train kwa mbele wewe.
Geza alikuwa sahihi ila ujinga wa serikali yenu ya Kenya mmeforce hiyo njia bila kujua madhara yake sasa Uganda imechukia Kwa sababu mmekataa mafuta yenu kupitia Uganda kuja tz ndo mana Uganda inataka kulipa kisasi na kujidai muisaidie kuomba mkopo wa kujenga sgr kuunganisha KenyaGeza unakumbuka ile thread ulikuwa unasema eti pipeline ya Kenya lazima ishikane na Uganda. Wakenya wote kwa hii forum wakakueleza kuwa hiyo haiwezi fanyika kamwe. The argument lasted kama wiki nzima. Sasa jionee mwenyewe. Usijifanye kama unaifahamu Kenya vizuri. Ukweli ni kwamba hauifahamu KE vizuri.
Swali unafaa kujiuliza, inakuaje nyinyi mlioshiba mnashindwa na Kenya ya njaa kwa school enrolment rate.Sasa wewe kama bajeti ya elimu ni $2B, wakati wananchi hawana chakula wanakufa kwa njaa, hizo shule nani atasoma?, hiyo ni nchi ya wendawazimu wasiojua priorities, chakula kwanza, mengine yote yanakuja baadae.
Akili zao fyatu manyangau wanaishi katika dunia ya kufikirika.Hilo ndilo linalonishangaza, Uganda kiwango kilichogundulika ni 6.5B barrels, lakini recovable ni 33% ambayo ni 2B. barrels. Kenya kiwango kilichogundulika ni 800M.barrels, lakini recovable wanasema ni 750M. Barrels, sielewi lengo lao ni lipi hawa, kupenda kuwashusha wengine na wao kujikweza,
Picha ya nini tena unataka wewe mwehu?@jito la jiwe Weka picha moja tu inaonyesha ujenzi, kichaa wewe.
Sasa wewe mbona unazunguka?, mimi nimekuambia kwamba, ni taifa la wendawazimu pekee ambao watakimbilia kushughulikia elimu kwanza wakati watu wake wanakufa kwa njaa, ninyi mnashughulika na elimu na flyovers wakati watu wanakufa njaa, stupid nation.Swali unafaa kujiuliza, inakuaje nyinyi mlioshiba mnashindwa na Kenya ya njaa kwa school enrolment rate.
Inakuaje watoto maskini wa Kenya wenye njaa wanawashinda hata wanafunzi wa tajiri wa Tanzania... Kama priority ya Tz ni watu wale washibe alafu wakae vijiweni kupiga udaku basi mme achieve
View attachment 683686