Kwenye hip-hop majadiliano/mabishano ni sehemu ya mchezo, na yeyote anaruhusiwa kuwa na mitazamo yake. Ila kabla ya kujadili au kubishana, inabidi kufahamu uwezo na uelewa wa unayebishana naye kwenye mada husika.
Sasa sijui unaanzaje kubishana kuhusu rap/hip-hop na mtu anayetumia "MC's" pasipohitajika words limit.