We mleta uzi unayemwita niki wa pili na joh makini fake rappers nakupa challenge utuandike walau nusu vesi ya 8 bars tu na chorus yake alafu tuilinganishe na nyimbo yoyote katika discography ya hao uliowaita fake.Muziki hasa wa hip hop sio rahisi kama unavyodhani,joh anaweza asiwe msanii bora kuliko wote wa hiphop na niki pia,lakini huwezi niambia eti ni fake.shame on you.