Sitasahua lake chala bado kidogo likatishe uhai wangu, lina kina kirefu sana na kadiri muda unavyozidi kwenda linazidi kushuka chini, nilienda in 2002, tukaweka alama kwenye jiwe usawa wa maji by 2006 kwenda tena lile jiwe liko juu sana kutoka kwenye usawa wa maji
Ukiwa juu kabisa hata ukirusha jiwe na manati halitaingia ndani ya maji, ukizama hautakaa uonekane, ukisimana ndani ya maji mwanzoni ukipiga hatua moja unazama, na pia sauti zainazoita watu kwa majina huwa hazijulikani zinatoka wapi
Sent from my iPad using JamiiForums