Hata wasipocomment...message sent !!! Wamenuna hawataki kufunikwa !! Ingekuwa ni list ya kusifia wakongwe/mkongwe/maarufu ungeona rundo la hongeraHa ha ha ha
Hii post nayo itapotezewa tu na Wakongwe wa JF
Sana tu ila nisingeweka SOURCE...Rundo la watu lingejaza comment za kuponda,ukiona kimya ujue wamekosa sababu ya kutoa povu
Hahahaha supu ya miguu ya kukuWaje tu tuwanyooshe bila huruma
Tushashiba supu ya makwasukwasu tupo fit !!!
Halafu inabidi ufanye ku-acknowledge kwa mtu aliyekuonyesha hiyo link, siyo unajisifu peke yako.Hata wasipocomment...message sent !!! Wamenuna hawataki kufunikwa !! Ingekuwa ni list ya kusifia wakongwe/mkongwe/maarufu ungeona rundo la hongera
Sisi tunajipongeza wenyewe
Supu ya makongoro.Kichwa cha ng'ombe &utumbo
Trophy points wala sizijui ...invisible ndo anaelewa
Mbona kwa akina Fulani huendi kuulizaga ?Hivi huku jf kujulikana ni dili kumbe smh