Wapendwa wana JF..katika kuchagua mwenzi kila mtu ana criterias zake.Lakini inatakiwa ikumbukwe kwamba si lazima utakutana na ambae yupo totally perfect..hakuna mwanadamu kamili..ila baadhi yetu tumekuwa too selective jamani nikianza na sisi akina dada utamsikia mmoja " Loh! ule mpua ntaupeleka wapi? mwanangu si atatisha."..mwingine "Kha! ufupi ule jaamani,kwakweli nehi!" au utasikia "mmh,hapana mtu mwenyewe ananilazimiishaa wakati nimemwambia mie bado bado kwanza" nakadhalika.....akina kaka sasa utasikia "demu hana hata makeke,analiaaa" mwingine utasikia " bado bado,ndo naendelea kuwachambua nimebakiwa na top 5 sasa" nakadhalika.. My point is unapochagua sana napo,mwisho unachagua vibovu... Ni kweli kila mtu ana criterias zake lakini tukisema tutafute mtu perfect mmmmh! mtihani.... mwisho wadada tunakuwa hatuolewi na kuishia kuwa manungayembe wezi wa waume za watu..na wakaka kuishia kuwa gusa unase kila shimo kungia... ni hayo tu..Jumatano njema wana JF!!
Wapendwa wana JF..katika kuchagua mwenzi kila mtu ana criterias zake.Lakini inatakiwa ikumbukwe kwamba si lazima utakutana na ambae yupo totally perfect..hakuna mwanadamu kamili..ila baadhi yetu tumekuwa too selective jamani nikianza na sisi akina dada utamsikia mmoja " Loh! ule mpua ntaupeleka wapi? mwanangu si atatisha."..
mwingine "Kha! ufupi ule jaamani,kwakweli nehi!" au utasikia "mmh,hapana mtu mwenyewe ananilazimiishaa wakati nimemwambia mie bado bado kwanza" nakadhalika.....akina kaka sasa utasikia "demu hana hata makeke,analiaaa" mwingine utasikia " bado bado,ndo naendelea kuwachambua nimebakiwa na top 5 sasa" nakadhalika..
My point is unapochagua sana napo,mwisho unachagua vibovu... Ni kweli kila mtu ana criterias zake lakini tukisema tutafute mtu perfect mmmmh! mtihani.... mwisho wadada tunakuwa hatuolewi na kuishia kuwa manungayembe wezi wa waume za watu..na wakaka kuishia kuwa gusa unase kila shimo kungia... ni hayo tu..
Jumatano njema wana JF!!
Kwahiyo watu wasombe sombe tu kisa ndoa itangazwe?
Lugha gongana kuna kosa dogo na tuwekane sawa.
Hakuna neno criterias. Criteria ni wingi wa neno criterion. Vinginevyo tumia maneno ya kiswahili Kigezo (umoja) au vigezo (wingi).
Asili ya neno hilo ni Kigiriki "kritērion"