Katika ukurasa wa 8 wa gazeti la |Mwananchi la leo tar 09/02/2012 kuna habari yenye kichwa cha habari CHADEMA: HATUIINGIZI NCCR BARAZA KIVULI LA MAWAZIRI,kwa muibu wa taarifa hiyo aliyetoa taarifa hiyo ni Mhe Kabwe Zitto.
Licha ya habari hii kuwa against the spirit of reconciliation inayojengeka hivi sasa. Kwa hakika hiini habari ya kusikitisha kwa wnaharakati wa mabadiliko popote walipo ambao wanatambua kuwa ni mshkamano pekee ndio utakaoweza kufanikisha mabadiliko yanayohitajika.
Ninafahamu kuwa Mhe Zitto na Mhe Kafulila ni pete na kidole hivyo ni dhahiri kuwa Mhe Zitto lazima atakuwa na sentiments zake kuhusu uamuzi wa NCCR kumtimua Mhe Kafulila lakini kama kiongozi na role model kwa vijana Mhe Zitto alipaswa kuwa na uwezo wa kutawala hisia zake badala ya kuachia hisia zimtawale na kiasi cha kuanza kupandikiza mbegu mbaya za kuvunja mshikamano miongoni mwa wana mageuzi.
Naomba kuwasilisha!
Sidhani kama Zitto kajikurupukia tu na kutoa maamuzi yake; yeye ni kiongozi amepeleka msimamo wa chama chenu, laumu chama chako kwa maamuzi hayo hayo usilaumu mpeleka ujumbe. Zitto ni kiongozi makini kuliko wote CDM acha chuki zako wewe
Ni meelewa ni kauli tata za kuudhi at this particular moment.Mkuu Watanabe, umeielewa 'context' ya habari hiyo?

Nauiliza hii yoote hapa kwa nini isiitwe NDOA kama ya CUF na CCM kule Zanzibar? Je Chadema ni NCCR B anu NCCR ni CHADEMA B? Naomba mwongozo!
Mkuu Respect!Nimefika mahali nakubali kuamini kuwa zitto ni very complicated.haeleweki kabisa yuko upande gani wala kwa maslahi ya nani.sasa kwa issue kama hii naamini ni kweli kabisa amejiropokea makusudi ili nadhani kuvunja ile attention iliyotokea juzi baada ya mbatia kufuta kesi yake na mdee.pia ukisoma gazeti la raiamwema matoleo ya hivi karibuni,utawaona wakimfagilia zito kuwa ndie aliyewezesha chadema kumwona Raisi.as if Mh Raisi alikuwa na ugomvi na viongozi wengine wa chadema au walikuwa wanamwogopa Raisi au tuseme zitto pekee ndiye smart kuliko wengine wote kiasi cha kufikiria wazo kama hilo.Stop playing Zitto..halafu kwenye toleo jingine kwenye kichwa cha habari "bunge kuingiza viraka bandia" wamejaribu kuwabeza viongozi wa chadema walioshiriki kwenye yale majadiliano ya katiba ikulu.Nina hakika kabisa zitto amechangia kutoa hizo comments au washiriki wake kwasababu tu hakuwepo kwenye hayo majadiliano.Zitto na wenzako tunawaomba sana for the sake of all the Tanzanians ambao wameweka matumaini na imani zao kwa CHADEMA, mjaribu kufanya mambo kwa akili zaidi.kama ni comments au tofauti zenu basi mtafute njia sahihi ya kuzimaliza pasipo kwenda kwenye media.mnapoanza kurushia wenzenu madongo au kuwa tofauti na majority kila mara inawachanganya mamilioni ya wapenzi na wanachama wa chama.muwaonee huruma pia wananchi,mkikumbuka kuwa kuna wengine walipoteza maisha,wengine ni vilema mpaka sasa kwa ajili ya kuwaamini nyie.tena mkiwa kama chama na sio mkiwa tofauti.Zitto hatutawaelewa kama mtashindwa kutupitisha 2015.Nothing personal Mh zitto.Be blessed!Katika ukurasa wa 8 wa gazeti la |Mwananchi la leo tar 09/02/2012 kuna habari yenye kichwa cha habari CHADEMA: HATUIINGIZI NCCR BARAZA KIVULI LA MAWAZIRI,kwa muibu wa taarifa hiyo aliyetoa taarifa hiyo ni Mhe Kabwe Zitto.
Licha ya habari hii kuwa against the spirit of reconciliation inayojengeka hivi sasa. Kwa hakika hiini habari ya kusikitisha kwa wnaharakati wa mabadiliko popote walipo ambao wanatambua kuwa ni mshkamano pekee ndio utakaoweza kufanikisha mabadiliko yanayohitajika.
Ninafahamu kuwa Mhe Zitto na Mhe Kafulila ni pete na kidole hivyo ni dhahiri kuwa Mhe Zitto lazima atakuwa na sentiments zake kuhusu uamuzi wa NCCR kumtimua Mhe Kafulila lakini kama kiongozi na role model kwa vijana Mhe Zitto alipaswa kuwa na uwezo wa kutawala hisia zake badala ya kuachia hisia zimtawale na kiasi cha kuanza kupandikiza mbegu mbaya za kuvunja mshikamano miongoni mwa wana mageuzi.
Naomba kuwasilisha!
katika ukurasa wa 8 wa gazeti la |mwananchi la leo tar 09/02/2012 kuna habari yenye kichwa cha habari chadema: Hatuiingizi nccr baraza kivuli la mawaziri,kwa muibu wa taarifa hiyo aliyetoa taarifa hiyo ni mhe kabwe zitto.
Licha ya habari hii kuwa against the spirit of reconciliation inayojengeka hivi sasa. Kwa hakika hiini habari ya kusikitisha kwa wnaharakati wa mabadiliko popote walipo ambao wanatambua kuwa ni mshkamano pekee ndio utakaoweza kufanikisha mabadiliko yanayohitajika.
Ninafahamu kuwa mhe zitto na mhe kafulila ni pete na kidole hivyo ni dhahiri kuwa mhe zitto lazima atakuwa na sentiments zake kuhusu uamuzi wa nccr kumtimua mhe kafulila lakini kama kiongozi na role model kwa vijana mhe zitto alipaswa kuwa na uwezo wa kutawala hisia zake badala ya kuachia hisia zimtawale na kiasi cha kuanza kupandikiza mbegu mbaya za kuvunja mshikamano miongoni mwa wana mageuzi.
Naomba kuwasilisha!
litafute hilo gazeti la mwananchi halafu uandike nukta kwa nukta mstari kwa mstari usichague maneno ukisoma maelezo yote utamuele
Aliongea kama Zitto Kabwe au kama naibu Katibu Mkuu wa Chadema na naibu Kiongozi wa Upinzani bungeni?
2ache unafki, Mh Zito 2namwamini sana sisi wana chadema.
zittophobiakatika ukurasa wa 8 wa gazeti la |mwananchi la leo tar 09/02/2012 kuna habari yenye kichwa cha habari chadema: Hatuiingizi nccr baraza kivuli la mawaziri,kwa muibu wa taarifa hiyo aliyetoa taarifa hiyo ni mhe kabwe zitto.