Rusumo one JF-Expert Member Oct 4, 2018 3,079 3,610 Mar 19, 2019 #1 Wadau habarini za majukumu? Dogo kaenda hospital kung'oa jina kaambiwa pia ana tonsil stones Sasa huu ugonjwa unasababishwa na Nini na dawa yake Ni ipi? Karibuni kwa michango
Wadau habarini za majukumu? Dogo kaenda hospital kung'oa jina kaambiwa pia ana tonsil stones Sasa huu ugonjwa unasababishwa na Nini na dawa yake Ni ipi? Karibuni kwa michango
Mdomo bakuli JF-Expert Member Jan 7, 2017 3,443 6,986 Mar 19, 2019 #2 Weka picha mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
Rusumo one JF-Expert Member Oct 4, 2018 3,079 3,610 Mar 19, 2019 Thread starter #3 Mdomo bakuli said: Weka picha mkuu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Huna hoja tuliza ngebe watu wanna shida unaleta Domo bwaku bwaku bwabwaja
Mdomo bakuli said: Weka picha mkuu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Huna hoja tuliza ngebe watu wanna shida unaleta Domo bwaku bwaku bwabwaja