Tomahawk cruise missile

TRUE! Na wala simuoni Mchina akipigana na Marekani unless iwe hapana budi! Lakini aingie kwenye all-out war on behalf of a "certain friend", simuoni Mchina akifanya huo ujinga!

Na in fact, sio tu itakuwa ndio "mwanzo" wa Uchina kuwa superpower bali watu wanamaliza vita wanakuta tayari China ni superpower manake itakuwa ni very expensive war to recover.
 
na marekani akitaka aendelee kua super power afanye kila aina ya fitna ili kuwa gombanisha china na russia

cha ajabu sasa marekani anawawekea vikwazo wote wawili,china anampa vikwazo vya biashara na russia nae ana vikwazo aliyowekewa kutokana na ushiriki wake wa kule crimea,ukraine na syria

kuwawekea vikwazo hawa watu kuna wafanya waungane zaidi,na hapo marekani hata kua na wakati mgumu kama china na russia wakizidi kuungana kijeshi na kiuchumi,kama tulivyoona juzi hapa waziri wa mashauri ya kigeni wa china alivyoenda moscow na alisema wazi wazi kaenda ili kuionyesha marekani kua wao china wana uhusiano mzuri wa kijeshi na moscow hii ni hatari sana kwa marekani

alivyopita trump nilitegemea sana atakua na uhusiano mzuri na moscow ili kuidhoofisha uchina,lakini sasa kafanya vice versa

kuwapiga vikwazo china na russia kuna wafanya wawe marafiki zaidi sababu wanakua na adui mmoja,sijui trump hajaona au ndio anaogopa wamarekani wataona kwamba ni kweli moscow ili ingilia uchaguzi ili trump ashinde kwa hiyo ana neutralise the situation kwa kuipa vikwazo russia ili aonekane sio rafiki
 
Umechambua vzr,na ndicho kinachotokea muda huu,Damascus kimenuka
 
mkuu GT elungata thank you very much for the analysis.

Tumuombeeni Assad maisha marefu na amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…