*MPENDE MUME wako
*MPE HAKI yake kila siku
*Epuka KULALA NA NGUO wkt wa
USIKU
*OGA VIZURI unapotaka kulala
*Mara nyingi chagua STYLE ambayo
INAMRIDHISHA vizuri,epuka mitindo
ya KUFUNGUA MAHAKAMA
KITANDANI ukafanya ndio mahali
pekee pakumfungulia mashtaka
Mumeo.Pia mpikie chakula chake
vizuri kwa usafi na kuzingatia
virutubisho stahiki/mlo kamili PIA
KUMBUKA KUSEMA ASANTE MUNGU
KWA KUNIPA MUME.. kwani ni
wengi wanatamani kuwa na MUME
lakini hawana