Tofauti ya mke na mchepuko

koncho77

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
7,813
Reaction score
10,446
Mke ni kama Tv na
Mchepuko ni kama
Simu.

Nyumbani unaangalia
Tv lakini ukitoka
unatoka na simu.

Mara chache
unafurahia Tv lakini
Muda mrefu unacheza
na simu yako.

Tv ni bure kwa maisha
yako yote, lakini Simu
kama hujalipia hupati
huduma.

Tv ni kubwa nzito na
wakati wote ni ya
zamani. Lakini simu ni
nzuri, nyembamba, na
ni rahisi kubeba.

Gharama za huduma
za tv ni ndogo sana,
Lakini gharama za
huduma za Simu ni
kubwa na pia ni lazima
kuzitimiza.

Tv ina remote lakini
Simu haina. Kitu muhimu zaidi simu
ina njia mbili za
kuwasiliana unaongea
na unasikiliza lakini Tv
unalazimika kusikiliza
hata kama hutaki au unataka.

Unaweza kununua Tv
mara moja na
ukatumia kwa kipindi
kirefu lakini Simu mara
zote unabadilisha
inategemea na fasheni.

Ya mwisho na ya
kuzingatia Tv haina Virusi lakini
Simu inavyo.

KUWA MAKINI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…