Wenyewe ndo sisi wengine mafisi....subiri waje wenyewe
Temba na swaga zake za kishamba za kutafuna kijiti kila video akienda kimataifa si atatembea na ukuni mdomoni!
Temba na swaga zake za kishamba za kutafuna kijiti kila video akienda kimataifa si atatembea na ukuni mdomoni!
Kweli kabisa mtoa mada ila kuna kikubwa umekisahau hapo
**Malengo ni kitu cha muhimu saana katika kila unachokifanya katika carier yako.. Diamond tangu 2010 alipo bahatika kuchaguliwa kwenye nomination ya best upcoming artist MTVMAMA na kamwambie, nimebahatika kuona interview yake alipokuwa uingereza wakatihuo wakimfanyia interview kuhusu hilo,
""jamaa alisema muziki wetu wa bongo flavour unakubalika sana huku nje lakini hatujapata sana airtime kwakuwa hakuna wakujitangaza zaidi kimataifa (japokuwa alipiga show ya ukumbini tu!!)
""jamaa akasema ndoto yake kubwa ni kuutangaza muziki wake kimataifa na atafurahi sana akija kufika level ya kufanya collable na usher raymond""
Hivi vimemjenga kuto kuridhika na anachokipata na stage anayofikia japokuwa kote huko hakuwa na mameneja alionao sasa...
Cha mwisho ni thamani ya mwanamuziki.. wasanii wetu wengi miaka ya nyuma walikuwa waoga sana ilikuwa ni ngumu mtu unalipwa mil. 1 kwa show afu upandishe mpaka mil. 3 hivi ghafla kwa uoga wa kutokupata show... Mwenzao mpaka 2013 aliweka vidhibiti vya kutotaka kuonekana wa kawaida show ilikuwa milioni 10, na ukimshirikisha nyimbo yako 5 million... mpaka hivi sasa huwezi kuona just anybody anamshirikisha diamond mpaka yeye mwenyewe aone itakuwa na maslahi kwake (japokuwa wengi ndio wataona majigambo, ubinafsi, but ndio rules za biashara)
Temba na swaga zake za kishamba za kutafuna kijiti kila video akienda kimataifa si atatembea na ukuni mdomoni!
Temba na swaga zake za kishamba za kutafuna kijiti kila video akienda kimataifa si atatembea na ukuni mdomoni!
Chibu Chibu oyeeee
Kumpigia kura tuzo za MTV AFRICA 2015
Ingia link hii, waweza piga mara nyingi anawania kategori
MAMA 2015
View attachment 262381
tunaendeleza mashambulizi kama kawaida watunyime wao tu ila tushazichukuwa tuwafundishe kwamba watanzania ukiachana na uchizi wa mitandaoni kutukanana tupo vizuri kwenye ku support kizuri..
Team no stress
Afu unajuwa kama k cee yupo south ameenda jana? it's obvious kama ameenda kushoot love boat maana diamond alisema inatoka after two weeks.. raha sana kwakweli yani ukiangalia trace top ten
Nana no. 3
Nakupenda no. 8
sasa zinakuja video nyingine mbili kiasikwamba ukicheki top ten ya Africa nyimbo 4 yupo diamond wwatajutaaaaaaaa
Hata mi naona kwakweli
kiba kashika tembo chibu kashika mic
kiba yupo mbugani chibu yupo studio
kazi kama kawa hakuna women empowerment ni kazi tu, kazi tu, kazi tu yani
Wasafi ni kazi tu, kazi tu yani women empowerment twamuachia alikibakuliAti nini, women empowerment?