Tofauti Kati ya vita na special Operation

Niongeze swali hapo Je operation inahusisha idadi fulani ya wanajeshi au namba yeyote tu unapeleka kulingana na uhitaji na upatikanaji wa wapiganaji?
 
-operation anachagua maeneo muhimi ya kupiga
-operation anapambana na wanajeshi,haui RAIA
-operation anawataarifu RAIA wajiandae kuondoka sehemu husika-lengo kuangamiza jeshi husika.
Hayo ni machache kwa lugha ya ki layman.
Sasa mbona Russia haya yote hafanyi na bado anaiita operation?! Halafu operation gani inadumu miezi saba?!
 
We upo huru lakini unamaisha magumu ona Pres..Putin anaendesha Ops Nchi jirani afu anamwagilia moyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2340258
Jamaa anaonekana ni sturbon Sana kwa USA,afu akili mingi Sana ndani ya fuvu lake!
Dunia inataka watu wa aina ya Vladimir ili kuleta usawa duniani
 
Mbona wanashambulia ukumbi za sinema na shule
Kama majeshi ya Ukraine yanaweka kambi na vifaa vya kijeshi mashuleni, hospitali na kwenye maeneo mengine ya kijamii wakifanya mashambulizi tokea maeneo hayo huku wakiwatumia raia kama kinga yao, ulitegemea majeshi ya Urusi yawapelekee pipi, biskuti na juice cola?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…