Nani James
Member
- May 25, 2016
- 82
- 27
MBBS bachelor of medicine and bachelor of surgery , MD doctor of medicine ,sio tofauti sana ila kwa curriculum ya wanaosoma MBBS wakua vizuru zaidi kwenye surgery kuliko md thats what I know, kwa bongo inafundishwa IMTU , kama kuna mdau wa IMTU hapa atatujuza vizuri
International Medical and Technological University..daaa thnks cn kiref ch IMTU n nn braza
kiko mkoa gan kaka....na kam unajua na ada yake piaInternational Medical and Technological University..
Kipo mbezi beach dar ada ni around 6.2m kama sijakoseakiko mkoa gan kaka....na kam unajua na ada yake pia
Kipo Mbezi Beach maeneo ya Interchik karibu na Jogooo..kiko mkoa gan kaka....na kam unajua na ada yake pia
vp mshahara wake ni mkubw ; mdog au ni sawa tu n MDMD ina asili yake kule USA ambako wanafunzi kwanza wanapata degree zao (pre-medical ) za kwanza wengine hadi phd halafu ndio wanasomea udakitari. Kwa hiyo hii MD kule ni graduate degree. Kule UK ndio hiyo nyingine sasa swaga ya MD wengi waliipenda na kwa vile hata mwenye MBBS huitwa dakitari (ana ujuzi wa kutibu ) wengi tukapiga short cut na kutumia MD kwa degree ya kwanza. Kwa huku kwetu therefore hamna tofauti kati ya hizo degree. Kwa nchi nyingine ni vitu tofauti.