To My Archduke

Kama ni surprise umeniweza, yan nasoma hii comment ako neno kwa neno, imekua kama kule zile sms unanitumiaga navyozisoma,asante kwa kuifanya siku yangu niianze kwa kutabasam, asante kwa kukubali kunichagua kati ya wale wote babe. Nakupenda, nipende na tupendane tufike mbali, uwe hivi hivi usibadilike

Unipende hivihivi usipunguze na wala isitokee ukapunguza upendo huu, univumilie na mapungufu yangu, hata usichoke nadhani unaelewa why nakwambia hivi

Thanks babe, I love you more
 

Unless it's meant for chitchat, otherwise you need to check on the highlighted part, that kind of love you only get from your mom (if you're lucky enough to have a mother who loves unconditionally) and God (if at all he existed)

Otherwise, hongera!!
 
Unless it's meant for chitchat, otherwise you need to check on the highlighted part, that kind of love you only get from your mom (if you're lucky enough to have a mother who loves unconditionally) and God (if at all he existed)

Otherwise, hongera!!
Vyovyote vile hivo ndio ni jinsi nahisi juu yake, asante rafiki.
 
Mpska sasa hivi bado naimba ule wimbo wa brother diamond NIMPENDE NANI?
Ila ww madame sisi wanachama wa Kapuku forum tunafaham ww ni shemuu kwa Baily5 ysmewakuta yapi tena?Hafu uzuri na Arcduke nae ni memba kulee🙂🙂

Alichofanyia Paprika hakiayamumgu diwez sema,Ila nichojifunza kesho siwaamini wacheza dimema za JF, Moyo aliupatia mateso siwez kumeza siwez tema ndomana sikushangaa ile gafla Shunie kutoka kwa Lee Empire kwenda kwa Davet..

I miss you @Papriks
 
Demis na Mshana jr walisumbua sana humu, sasa hivi naona wanapishana kwenye makorido ya majukwaa bila kuitana tena
Mwanaume mzima unafatilia mahusiano ya watu itakuwa shoga wewe si ridhiki

Tukibebishana mnasema haya tumetulia tunakula matunda mnasema

Binadamu mnataka mpaka tuwanya.mbie kwenye mapaji ya uso ndo muache ufukunyuku wewe punga si buree au james delicious
 
Kwa hiyo ukaona ndio wameachana?? Huwez jua wameamua pengine kua hivyo, jf ni sinia pakua unachoweza kwa size yako.
Aiseee ukiona mwanaume akiingia Jf ana kazi ya kusoma Demiss kamjibu nn mme wakee itakuwa ana matatizo ya oblongata si bureeee anahitajika mirembe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…