Nyasiro sawa nashukuru kwa ushauri nitafanyia kazi. Japo Mimi binafsi nilitaka site isiwe na forum list kwenye front page ili iwe tofauti, naana imezoeleka forums nyingi zinamwonekano sawa kwenye front page.
I wanted shuletime to have it's own style.
zech nitafurahi pia kuona hizo projects, unaweza kuni-PM.
Musa17 unless otherwise, zech is not affiliated by myElimu initiative na sio yeye aliyeitaja ila mie nadhani alikuwa anafanya tu mlinganisho wa tovuti mbili.
Negative critic uwa anachukiwa hasa unakuwa unahisi umefanya kazi kubwa. Ila usichukulie negative critisim negatively... Ziangalie katika mtazamo chanya.
Mimi kwa mtazamo wangu kwa kuwa unaanza sio mbaya ila as it grows wewe endelea kufanya mabadiliko
Kina zech Nyasiro na wengine wameangalia context ya design ila mimi nimeangalia upande wa content ambao ni wa muhimu zaidi. Usikate tamaa na shirikiana na wengine ambao wako interested kukusaidia na usikate tamaa kwa kupata negative feedback, ni kawaida kupata mixed feedback unapoleta hoja kwenye kundi kubwa la watu
You have serious problems zech, I thing you haven't done anything or you have lacked attention in your life that's why you try to grab attention by commenting different than other. Sadly based on assumptions. Shame on u brotherNo i am not affiliated with any of these sites, i actually just seen them today when i was reading the thread so nothing personal man.
Do i expect a browser to redirect me to a mobile version of your site? - That's why i asked you, have you ever heard of media queries?, i guess not that's why i told you to learn how to design first.
Did i judge the book by its cover? - I think i just did, and if "the cover" is the "www.shuletime.com" homepage, then i won't even try to buy that book.
Look man, watanzania tumezoea kuambian "oh good job, kazi nzuri, blah blah blah" even if its not. So kama unataka hivyo then "kazi nzuri" but you have to know as long as you are on the web, your target audience is no longer in tanzania only, you are now on display worldwide, and out there, there's some real great designers who will see your ---- looking site. do you think people out there will say "good job"? exactly!
Just learn some designing kidogo then you will see what it does to your site.