Ntate Mogolo
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 410
- 711
Hilo tangazo linatoa ONYO "To All BLACK FOREIGNERS" ....Ina maana haijalishi una Uhalali wa kuishi hapo au hapana.Je kwa ambao wanaishi kiuhalali? Hawaoni kama wanavunja sheria za kimataifa
Halafu mnawasema wahindi ,wazunguNaomba kuuliza; blacks wa Mozambique wanaoishi Pretoria hawahusiki na alert hii? Nauliza hivi kwa sababu huko kwao nao wamegeuka wabaguzi wa ajabu!
Ni kweli kiongozi ila hao wahindi na wazungu wanaosemwa ni wale matapeli na wezi wa mali za nchi sidhani kama suala ni rangi ya ngozi bali wale wenye tabia za kibaguzi, wizi wa mali ya umma, unyanyasaji na uonevu kwa wazawa, na ugaidi.Halafu mnawasema wahindi ,wazungu
Haha sie manigga wanafki sana
Shibekijijini huyo! Navyomwonea huruma!Thread yake ya mwisho alisema yuko jo'burgh.kuna yule msela alikua anasafiri kuelekea huko
amefika au amerudia njiani
Tuliposikia waislamu wa nchi saba za kiarabu,hawaruhusiwi kuingia America ,wapo waliofurahi na kuleta maneno ya kejeli,sasa zamu yetu,bila kujali dini wala utaifa,twafukuzwa Afrika kusini.Wahenga walisema:ukimuona mwenzako ananyolewa,wewe tia maji.ATTENTION! ATTENTION!! ATTENTION!!!
This is to inform all black foreigners living in Pretoria to be on alert as it has been reliably gathered that south African boys are mobilizing themselves from Mamilodi, Shoshanguve and some other locations around Pretoria to launch an attack on Sunnyside tonight. Please if you know anyone in Pretoria send this message to them . you might be saving a life.7 people had already been killed around Johannesburg today.
Walipofukuzwa waarabu waislamu,Amerika wengi jf,walifurahi,na hili sasa pia muanze kufurahi na kuleta maneno ya kejeli.Je kwa ambao wanaishi kiuhalali? Hawaoni kama wanavunja sheria za kimataifa
amekaa kimyaShibekijijini huyo! Navyomwonea huruma!Thread yake ya mwisho alisema yuko jo'burgh.
Keshaingia kiumeni uruma ya nn full fursa.Shibekijijini huyo! Navyomwonea huruma!Thread yake ya mwisho alisema yuko jo'burgh.
Alikuwa bado hajafika Jo'burg hiyo siku. Mara ya mwisho kabla hajapotea hewani alosema ndo walikuwa wanaitafuta Harare!! Tangu hapo yuko kimya kabisa, sijui anasubiri mpaka atusue ndo aje ajimwage hapa jamvini? Ila South Africans nao wamechemka, yaani wao wanasahau tulivyowalea hapa nchini kwa muda mrefu, washenzy wakubwa hawa eti wamezuia mpaka ardhi kule Mazimbu eti SUA wakitaka kuendeleza mpaka waulizwe wao ndo watoe idhini. Mbwa wakubwa hawa!!Shibekijijini huyo! Navyomwonea huruma!Thread yake ya mwisho alisema yuko jo'burgh.