Wanajamvi mara nyingi nimekuwa naona wanajamvi wanaleta matatizo wakiomba kusaidiwa. Uzuri wa jamvi hili tunkutana watu wenye uelewa , uwezo, na profession tofauti tofauti.
Lakini binafsi kama Junior IT profession sipendi kuona nimetatua au kuwashauri kutatua matatizo madogo madogo watu .Napenda kuona watu wanajua jinsi ya kutatua matatizo madogo madogo wenyewe.
Kwa hiyo nashauri iwe ni configutaion ya simu kupata internet computer/laptop au just laptop ina tatizo fulani kuna vitu tunawweza kuajribu kufanya wenyewe hata kama hatuna utaalam.
1.
RTFM
kanuni ya kwanza kwenye troubleshooting inaitwa
RTFM( Read The ****ing Manual)
Kuna article nimesoma 80% ya matatizo watu wanaypata kuhusu kompyuta yanaweza kutatuliwa kwa RTFM. soma
http://www.readthe****ingmanual.com/
Binafsi pia huwa navitupa vitabu vya simu au vifaa vingine lakini uzuiri siku hizi kuna internet vinaweza kupatikana kwenye
WWW( Internet)
2.
MANUFACTURER WEBSITE
Tembelea tovuti ya watengenezaji(
manufaturer) wa bidhaa husika. Nenda kwenye kipengele cha support na troubleshooting . Mfano Nokia kwenye tovuti yao wana common problem na solution ya issue nyingi kulingana na brand. Kama ni laptop kabla ya kutafuta suluisho kwa third party kama mtazamaji, au driver kutoka tovuti ya CNET ni vizuri kwanza ujaribu kwa manufacturer. Kama tatizo ni internt ya zain je umepiga
customer service???? Ni vizurimtu anapoleta tatizo awe amejaribu hii na aseme ameshindwa nini
3.
Google it.( Search it)
Kwa kutumia google na search engine nyingine siku hizi mtu unaweza kuwa mtaalam wa kila kitu. Unachoitaji ni kuwa na
muda wa kusoma na kuchambua mchele na pumba na kuzifanyia kazi.
Kupitia
google unaweza kujua gearbox ya AIrbus au Boeing inafanyaje kazi. Kupitia
Youtobe unaweza kuona rubani wa ndege ana fanya nini akiwa kwenye ndege au ni kitu gni kinafanya ndege ipae au ndege inafanyaje kazi hatakama hujawai kuiona.
Through
intenet you can be well infomred in evertything if not anything ........
But kama huna muda we are happy to googgle it for you.
Changamoto
Ni vizuri tukileta matatizo basi tuonyeshe japo tumejaribu kufanya nini regadrless of knowledge yetu kwenye subject . Na vile vile zidi ya matatizo ya
Help desk support ambayo ni mengi hapa tunaweza kupeana changomoto zaidi.
Pia tujitajidi kuwa specific kwakuta detail za OS ,hardware na mdel ya vifaa vyenye matatiza.Mfano kusema nataka driver za
HP mtu atauliza za
OS gani? mwingine atakuja kuuliza
driver gani utasema za network . Nitazidi kuuliza kadi yako ya network ni
model gani. Utasema ni Broadcom au nextreme gigabit.
Kwa kuwa specific na kutoa detail zaidi unapnguza mlolongo wa maswali na kuongeza idadi ya majibu utakayopata
Nawasilisha mada iko wazi kwa kuponda,kuongeza kurekebisha ,kukosoa ,etc
teh teh teh
Teh Teh Teh