Tip 4 the Day!

Akha!! hii ya mwisho inamaana inatengenezewa mbu jike..?
 
Hapo na sato wa kuchoma kachumbari pili kwa mbali umekaa zako pale Rock Beach unapungwa upepo wa ziwa Victoria yaani mpaka unasahau kama kuna Mtumbua majipu aliyefanya pesa kukauka mifukoni mwa watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…