Asante mwanajamvi mwenzangu bwana mzizimkavu kwa kunifafanulia kidogo kuhusu tinnitus.Yani sauti niliyoisikia kwenye video yako,ndio sauti hiyohiyo ninayoisikia ndani ya sikio langu la kulia.Tutazungumza mengi kwa kupitia e-mail yako.Aksante sana
Sent from my iPad using JamiiForums