tukiangalia Fabregas ametoa mchango mkubwa sana kwenye holding ya Chelsea, pia sioni kwa nini Cech apangwe wakati kacheza game 2 tu kwa wiki.
Naweza kukubali kwamba inawea kuwa sababu beki yote ya Chelsea iliyofungwa mabao 5 wili iliyopita hawawezi kupata chance kwenye timu.