wakimataifa
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 942
- 169
Unajua ili thread yako iheshimike inabidi ujenge na kutetea hoja. Mfano, unatakiwa walau kidogo ueleze haya:timu kongwe hapa nchini simba spot club haijapata viongozi wazuri mda mrefu waliopo sasa waongowaongo mataperi kanuni za ligi wanavuruga yaani ni shida bin balaa.
tuombe mungu isije hadhi ya simba ikaporomoka kabisa kama nyota nyekundu
timu kongwe hapa nchini simba spot club haijapata viongozi wazuri mda mrefu waliopo sasa waongowaongo mataperi kanuni za ligi wanavuruga yaani ni shida bin balaa.
tuombe mungu isije hadhi ya simba ikaporomoka kabisa kama nyota nyekundu
Timu yenyewe inacheza kwa ajiri ya timu moja
Acha Kujihami Jumapili Kama Kawaida Yetu Tunachafua Hali Ya Hewa Mtaa Wa Twiga Na Safari Hii Ndiyo Mtafukuza Teja Lenu Manji.
Ni Kweli Timu Ya Simba Haina Bahati Na Viongozi Wake ILA Timu Ya Simba Ina Bahati Sana Ya Kuifunga Yanga Hadi Wanapigana Bakora Na Kufukuzana Hovyo.