Timu ya Lowassa yabadilisha staili

cc: lizaboni, faizafoxy
 
Tulishasema zamani..lowassa rais.penda usipenda..lia ucheke...kaa uchi vaa Nguo..lowassa rais do mtu yeyote akija na mawazo tofauti juu ya mpakwa mafuta wetu tutakushambulia tu
 
Tulishasema zamani..lowassa rais.penda usipenda..lia ucheke...kaa uchi vaa Nguo..lowassa rais do mtu yeyote akija na mawazo tofauti juu ya mpakwa mafuta wetu tutakushambulia tu

Hapo kwenye blue ni mafuta gani kapakwa Vaseline au Rays ???????????????????
 
Gwallo wewe punga..unatafuta mabwana..sisi tulikatazwa hiyo michezo unayotaka.nenda mombasa
 
Hii habari huenda ni ya kweli kabisa.Kuna form imeandaliwa na the so called Friend of Lowassa,binafsi nimeiona,ambayo inapita katika chuo kimoja hapa Dodoma na walio tayari kwenda Monduli wanajaza majina yao,namba za simu na sahihi zao kama watu wanaomuunga mkono Lowassa na kwa mujibu wa wanaotembeza form hiyo ni kwamba,kutakuwa na usafiri wa kuwapeleka mpaka Monduli na kuwarudisha wale wote watakaokuwa wameandika majina na ambao wako tayari kwenda.

Tukio hilo nasikia lilikuwa lifanyike Jumamosi iliyopita ila limesogezwa mbele mpaka Jumamosi ya wiki hii.

Kwa wenye kumbukumbu,wiki iliopita nilipost uzi hapa nikiwauliza wakazi wa Monduli watupe taarifa kama kuna dalili yoyote ile ya tukio kama hilo kufanyika.

Huyu Jamaa na uraisi si bure bila shaka kuna kitu zaidi ya uraisi.
 
Hahahaaaa! Kweli wewe wasema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…