Arsenal na man u zina mashabiki wengi duniani kuliko barca na madrid. Chelsea haiwezi kuizidi ac milan kwa mafanikio wala kwa mashabiki duniani. N.b kabla ya mwaka 2003 chelsea ilikuwa levo za akina Everton na spurs...
Kichwa cha habari kingekuwa club zenye mashabiki wengi duniani na sio club kubwa kuna tofauti ya ukubwa na umaarufu ukubwa unaendana na idadi ya vikombe walivyochukua.