Ukiwa kocha lazima uchanganyikiwe! Umpange Flamini, Wilshere au Gnabry? Umuache Carzola au Ramsey ama umpumzishe Mediapunta?
Hapo bado The Ox na Walcott hawajarudi! Halafu kuna mzee mzima Rosicky pale!Da El Capiten naye yuko benchi! Kha, pole Le Professeur!