Hiyo app japo ni evaluation nimeitumia kwa muda mrefu sasa na haisumbui, ni rahisi sana kuitumia kama una network nzuri na computer zote zipo kwenye Workgroup moja na zina share resources, Chagua computer moja ambayo utaitumia kucontrol computer nyingine, wakati wa Installation chagua server/Client, wakati wa kuinstall computer nyingine una install Network Version the unazifanyia configuration kwa kuzipa Ip Adress ya ile computer uliyoamua kuitumia kucontrol nyingine...