Kihambule,unakunywa leo then kwa wk nzima kazi yako ni kunywa maji ya moto tu,stimu zinapanda!
Brrahahahahaaaaaah,eeeeeeeeewwwww!DWL,haya ndo matatizo ya kuchungulia JF wakati upo kazini,unaweza shindwa kufanya kazi.Omosuka! Hii haina garama ukiinywa glasi moja tu unamaliza siku tatu hujalewa! Kuanzia siku ya nne mpaka ya kumi mambo yatakuwa si mambo! Unaona panzi kama aeroplane!
Kihambule,unakunywa leo then kwa wk nzima kazi yako ni kunywa maji ya moto tu,stimu zinapanda!
ki2 kischana ukipiga funda la kwanza uko uganda la pili uko kenya la 3 uko uarabuni unakula kitimoto na wajukuu wa sadam
kuna pombe inaitwa pingu,hiyo kabla ya kuanza kuinywa lazima ufunge pingu au kamba miguuni,maana bitu huwa vinatoka bila brekii